Afrika mhlophe biography of christopher
Afrika mhlophe biography of christopher robin
Afrika mhlophe biography of christopher.
Christopher Richard Mwashinga
Christopher R. Mwashinga, Jr (amezaliwa Januari 9, 1965) ni mchungaji, mwanateolojia, mwandishi wa vitabu na mshairi kutoka nchi ya Tanzania anayeishi nchini Marekani.
Amechapisha vitabu vya mashairi, teolojia, utume na historia ya dini. Mashairi yake yamechapishwa Singapore[1], Tanzania [2], Kenya [3] na Marekani[4].
Anaandika vitabu kwa lugha ya Kiingereza na Kiswahili.
Afrika mhlophe biography of christopher columbus
Asili na Familia
Alizaliwa akiwa mtoto wa tatu wa mzee Richard Male Mwashinga kutoka katika ukoo wa kichifu (Mwene) katika kitongoji cha Igawilo, jijini Mbeya, na mama Christine Mwaselela toka kitongoji cha Inyala, Mbeya, nchini Tanzania.
Kwa miaka mingi wazazi wake waliishi katika eneo la Uyole ndani ya Jiji la Mbeya.[5]
Elimu
Christopher R. Mwashinga alisoma katika shule ya msingi Ngare-Nairobi, mkoani Kilimanjaro.
Alihitimu elimu ya sekondari katika shule za Igawilo Sekondari iliyoko jijini Mbeya 1988kidato cha nne na